image description
# 835583
USD 18.00 (Book in Stock, will be dispatched ASAP)
- +

Pandashuka (Riwaya)

Author :  Timothy Omusikoyo Sumba , Hamisi Babusa and Ken Walibora(Eds)

Product Details

Country
Kenya
Publisher
African Ink Publishers, kenya
ISBN 9798582447788
Format PaperBack
Language Swahili
Year of Publication 2022
Bib. Info vi, 180p.
Product Weight 250 gms.
Shipping Charges(USD)

Product Description

“Nikumbukapo mashaka tipitipi yaliyoizonga familia yetu naamini kuwa ulimwengu umefurika malimwengu ya kila nui ambayo hukingama mbele ya walimwengu maishani na kusababisha pandashuka. Kama barabara ndefu ilivyo safari ya Maisha haikosi mabonde, vilima, milima, tambarare na kona. Je. Ni gurufu gani isiyokuwa na gurufu? Kwa bahati njema mawimbi ya safari ngumu hayadumu maishani, huisha namna Maisha yenyewe yanavyoisha. Baadhi ya Pandashuka ni furaha na huzuni, raha karaha, vicheko na vilio, utajiri na umaskini, shibe na njaa, amani na vita, afya njema na maradhi, upendo na chuki n ahata shwari na shari namna wasemavyo wengine. Kimsingi, pandashuka hutusambazia ama utulivu au uchungu nzima unaozaa jakomoyo sufufu. Je, ni nani asiyejua kuwa painamapo ndipo painukapo?”

Product added to Cart
Copied