image description
# 835586
USD 20.00 (Book in Stock, will be dispatched ASAP)
- +

Ndoa Ya Patashika (Riwaya)

Author :  David Ochola (Ed) Timothy Omusikoyo Sumba

Product Details

  • Country Kenya
  • Publisher African Ink Publishers, Kenya
  • ISBN9798725383362
  • FormatPaperBack
  • LanguageSwahili
  • Year of Publication2021
  • Bib. Infovi, 204p.
  • Product Weight280 gms.
  • Shipping Charges(USD)

Product Description

Ni mzazi kindakindaki. Ameniondolea janaa ya kuitwa mwana msi baba. Sasa nayafurahia mazingira matulivu. Yote ni kwa neema. Ile ndoa ya patashika baina ya Patashika na mama ikanitoka kabisa. Nikawa nimepoa na kutulia katika... Ndoa ya Patashika ni riwaya inayoangazia masuala tata yanayojitokeza katika ndoa. Aghalabu, kila ndoa huwa na changamoto zayo na ndiye maana mwandishi ameyaweka tashtiti mambo yanayowaudhi wahusika katika ndoa zenye hali hizo.

Product added to Cart
Copied