Country | |
Publisher | |
ISBN | 9789914996784 |
Format | PaperBack |
Language | Swahili |
Year of Publication | 2022 |
Bib. Info | viii, 132p. |
Categories | Literature |
Product Weight | 200 gms. |
Shipping Charges(USD) |
Riwaya ya Baada ya Dhiki imeyamulika masuala mengi katika jamii. Kati ya maudhui ya kimsingi na yanayojenga na kukuza dhamira ya kazi hii ni elimu, dhuluma katika jamii, unyanyasaji, bidii na kazi, uhusiano mwema, mapenzi na ndoa, mahusiano ya rika, asasi za kielimu na uwajibikaji. Kazi hii ni kazi ya aina yake ambayo inaifundisha jamii mbali na kuikosoa na kuielekeza kama ulivyo wajibu wa kazi yoyote ya Fasihi.