Country | |
Publisher | |
ISBN | 9789914962055 |
Format | PaperBack |
Language | Swahilii |
Year of Publication | 2022 |
Bib. Info | vi, 96p. |
Categories | Literature |
Product Weight | 200 gms. |
Shipping Charges(USD) |
Arusi tatu ni simulizi inayotuchorea picha kamili ya safari ya mwanadamu. Wepesi na ugumu wa safari hizo umeelezwa kwa ubatini katika maana kamili ya ‘Arusi Tatu’. Mwandishi Wilson Ireri anatusafirisha katika safari ya vijana watatu wenye hulka baidi kama ardhi na mbingu. Wa kwanza Shida ana shida kama lilivyo jina lake. Alichorithi kutoka kwa wazaziwe ni shida tu. Je, atapiga mbizi vipi katika bahari yenye mawimbi ya ufukara ili aufikie ufuo wa ufanisi?