Country | |
Publisher | |
ISBN | 9789914996746 |
Format | PaperBack |
Language | Swahilii |
Year of Publication | 2022 |
Bib. Info | iv, 106p. |
Categories | Literature |
Product Weight | 200 gms. |
Shipping Charges(USD) |
Hadithi hii ya Nizike Sijafa ina mnato na mvuto wa aina yake, imekolezwa uhalisia wa maisha katika siku hizi na dunia ya sasa. Mwandishi anasimulia jinsi mwanadamu anavyothamini mfu na kuyapa hadhi kubwa maziko kinyume na anavyomtunza na kumthamini mwenzake awapo hai. Je, Salama Makori atafaulu katika azimio lake la kuihamasisha jamii kuikumbatia methali isemayo udugu ni kufaana wala si kufanana? Je, Salama atapata afueni na kuishi maisha yenye furaha, licha ya umasikini wa sina sinani unaomwandama na kutishia kulizamisha dau la matumaini yake kila uchao? Soma ufaidi!