| Country | |
| Publisher | |
| ISBN | 9789912752665 |
| Format | PaperBack |
| Language | Swahili |
| Year of Publication | 2025 |
| Bib. Info | xxiv, 140p. Includes Index |
| Categories | History |
| Product Weight | 180 gms. |
| Shipping Charges(USD) |
Kitabu hiki kinaangazia maisha ambayo yalikuwepo baina ya maeneo ya kijiografia yaliyokuwa na mawasiliano ya kipekee katika bahari ya Hindi. Kitabu kinaakisi zaidi maeneo ya Kilwa na Zanzibar kwa kupitia kumbukumbu za Salama binti Rubeya aliyekabili maisha kwa uvumilivu katika muktadha wa ustaarabu wa kilimwengu. (Biographical History/ History of the Swahili Coast)